Wangefanya la maana zaidi kama wangeacha kuzinyonya nchi ndogo zinazokabiliwa na umaskini wa kutupa, otherwise hizo zitabakia ni sarakasi tu za kisiasa.
Mkuu,Hehe yani wao waache tabia za kutunyonya sisi SIO sisi tuache tabia ya kukubali kunyonywa nao!?
Utamtambuaje kiongozi mwenye nia ya kweli?Marais wetu hata hapa kwetu... hawawezi kufanya hayo...
Wao sio tena wa public transport regardless nchi zao ziko dependency kiasi gani..
Hawafikirii tena juu ya nchi zao miaka 100 ijayo zaidi ni wao familia zao na washkaji...ukiwa mbali nao kama sasa..endelea kulipa kodi waishi vyema..
Tunahitaji viongozi wenye vision za kuiondoa Africa kwenye lindi hili la umaskini wa mali na fikra...
Uwezo tunao...nia thabiti ipo..????
Mkuu,
Naamini wao wanamchango mkubwa zaidi wa kuwa chachu ya mabadiliko kwetu. Ukweli ni kwamba tangia wakae mezani mwaka 1884 kutugawana, hawa mabwana they never let us go mpaka wa leo hii.
sio yeye tu,hata blair nae alikuwa anapanda treni,afrika ilitokea rais wa zambia marehemu mwanawasa alipanda daladala,rais wa zamani wa ghana rawlings aliingia migodini,rais wa burkina faso blaise compaore alifanya mazoezi kucheza mpira na wachezaji wake kama kuwapa changamoto walipokuwa wanaandaa kombe la mataifa huru ya afrika 1998,na hata mawaziri wengi wa ulaya wakienda nchi kama south africa wanakuwa simpo wanajichanganya kwenye pub/baa na watu wa kawaida,david james kipa wa england nae alienda malawi akakaa kule nyuma ktk pick up yani kama mvua inanyesha inamlowesha.
nataka kukuonyesha wenzetu hawakomplikate maisha hata wakiwa watu maarufu kama sisi wabongo wengi wetu? :eek2: ? Relevance of your post to the topic at hand ni nini? Hao walifanya hivyo kuonyesha kupunguza gharama za serikali yao au kwa sababu zao nyingine. Na david james ana fit vipi hapa?
Leo ktk CNN walikua wakiongelea ziara ya waziri mkuu wa uingereza huko USA. Jamaa alipakia treni kutoka washington hadi newyork ili kuonyesha kujali expenses in "his cash strapped country."
Kwa mantiki hio marais wote wa africa wakiwa mtoni ingebidi watembelee treni! No wonder jamaa wanabana usaidizi wao kwetu,ikiwezekana wazuie kabisa.
alipakia treni, lakini hiyo treli ilikuwa na ulinzi sawa na ule wanaopewaga wananchi ziku za kawaida?, alikaa kiti sawa na cha wananchi au alikuwa na behewa sepcial?....kiini macho tu hicho. ubepari wameuleta wenyewe halafu wanajifanya kuukwepa.
alipakia treni, lakini hiyo treli ilikuwa na ulinzi sawa na ule wanaopewaga wananchi ziku za kawaida?, alikaa kiti sawa na cha wananchi au alikuwa na behewa sepcial?....kiini macho tu hicho. ubepari wameuleta wenyewe halafu wanajifanya kuukwepa.