Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,558
3,413
Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.

Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
5e61b43856449d67a970fb9640542cf4.jpg.png
 
Mtangazi na kiongozi wa radio free africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc makonda.
Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
Ujinga umekuzidi umri wewe
 
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
 
ukiona hivyo ameahidiwa ajira na wauza ngada..wanazo ajira kwa watu kama yeye.
 
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
Na hiki ndicho kinacholiua Taifa na kuwaacha wanasiasa taking advantage of us!
 
Back
Top Bottom