Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 472
Mbona unakosoa sana kuteuliwa kwa Jokate Mwegelo kuwa katibu wa idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Uvccm Taifa?
Kwanza umri wako miaka 38 umepitwa sana na mambo ya jumuiya hii ya vijana wa CCM, hivyo Acha kuitumia kama mgongo wa kulipa gazeti lenu Umaarufu.
Tangu aliyekuwa anakupa fedha za kujikimu kupigwa chini ktk Uchaguzi wa Ubunge Afrika Mashariki umekuwa na kiwewe sana.
Tangu awamu ya tano kuziba mianya ya madili uliokuwa umeyazoea kama kitu kinachokupa afueni ya maisha umekuwa na kiwewe sana.
Kuwa mpole kaka na uache tabia za kiudaku maana wewe ni mtoto wa kiume tabia hizo hazikufai.
Labda nikujuze tu mambo sita (6) kuhusu Jokate;
(1). Anao uwezo wa kupanga mikakati na kuisimami vyema kiutekelezaji.
(2). Anao uwezo wa kufanya hamasa kwa kiwango cha juu kabisa, na nafasi hiyo inahitaji mtu mwenye uwezo huu.
(3). Anao uwezo wa kuwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, hivyo Jokate anaweza kabisa kuitendea haki eneo la chipukizi.
(4). Anayo influence kubwa kwenye mitandao ya kijamii & vyombo vya habari na hivyo ataimarisha eneo la mawasiliano ambayo ni sehemu ya idara yake.
(5). Jokate ni mtu mbunifu na haswa eneo hili linahitaji kipawa hicho na anacho hivyo ni mtu sahihi.
(6). Pia idara hii inahusika na mambo ya tafiti na hivyo basi Jokate anao uwezo wa kuhakikisha kuwa kunafanyika tafiti mbalimbali kwaajili ya kuwa na mikakati stahiki kwa uhai wa idara, jumuiya na chama kwa ujumla.
Kwa sababu hizo sita hapo juu hakuna sababu yeyote ya Musiba na genge lake kuendelea Kumshambulia Jokate Mwegelo na Jumuiya kwa ujumla.
USHAURI KWA Musiba;
Endelea na udalali wako wa kisiasa wa kuwauza/ kuwanadi wateja wako wanaotaka kukiwania kiti cha Uwenyekiti wa UVCCM Taifa, kwa heshima yao nawahifadhi majina ya wateja wako wako Wawili (2).