Jana ilikua siku mbaya sana kwa biashara zina miliki website zilizo tengenezwa kwa PHP
Ipo hivi
jana openAi walitoa blog post kuhusu usalama kwa versions za PHP (haijalishi unatumia framework gani kama language ni PHP hauna bahati)
Walisema udhaifu uliopo unawawezesha hacker ku access data pia kuwa na access ya server nzima
Issue kubwa ni kwamba hata jamiiforums backed php server.
JF wanatumia XenForo premium na matoleo ya nyuma ya xenfore ni php versions ambazo zipo infected, xenforo jana wametoa taarifa ya kuwataka wateja wake wa update version
View attachment 3695852
View attachment 3695853
Hii inamaanisha kama ndugu yetu max asipo update Jf inaweza kuwa hacked na taarifa zetu zote email, user etc zikawa public
Kama bado, sio mbaya ku shutdown JF siku moja au mbili ili kulinda watumiaje wake
Max tunaomba mrejesho kujua kama tupo salama au mambo yamesha kuwa magumu