Cyber attack kwenye mifumo ya nuclear ya Israel

IRGC79

Member
Joined
Mar 8, 2016
Posts
76
Reaction score
86
Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel.

MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya Israeli.

Waziri wa Mambo ya Intelijesia wa Iran alithibitisha haya siku ya Jumapili ya tarehe 9 Juni 2025 kwamba Iran imepata taarifa nyingi kuhusu vifaa vya nyuklia vya Israel ambazo zitaongeza uwezo wa mashambulizi ya nchi hiyo.

Inataarifiwa kuwa raia kadhaa wa Israeli waliajiriwa kwa operesheni hii.
 
Wanaopendaga kubana puaa kuusu Mossad uwaoni umu ata Echolimai ndio kwanza kaja na UZI wa kwanza kachoka kupiga propaganda!!!

Iran imewavuruga vibaya
Nadhani tungejipa muda hadi pale Iran itakapo fanya kitu kwa Israel 🇮🇱 na Israel ikaonekana imeelemewa ndio hasa tunaweza kuipongeza intelligence ya Iran🇮🇷
Tujipe muda
 
Nadhani tungejipa muda hadi pale Iran itakapo fanya kitu kwa Israel 🇮🇱 na Israel ikaonekana imeelemewa ndio hasa tunaweza kuipongeza intelligence ya Iran🇮🇷
Tujipe muda
Kweli mkuu lkn Israel imekaaa kimya unajua kwann!!!

IRAN kaweka wazi atazianika nguo za ndani za Utawala wa Israel kwenye Media Iran inadai bado wanachambua chambua mtego upo apo!!


lkn ukweli si kuchambua ni mtego Kwa Israel wanasubiliwa wakane kuwepo ilo tukio !!!!

apo sasa Iran imwage kila kitu adhalani kuwaumbua!!!

Ndio mana Israel imekaaa kimya inapiga esabu cha kujibu lkn esabu zinakataa!!!!

Wameumbuka wajomba wa jako!!
 
Uzuri taarifa zenyewe bado ni siri so hakuna wa kumwamini.
 
Wanaopendaga kubana puaa kuusu Mossad uwaoni umu ata Echolimai ndio kwanza kaja na UZI wa kwanza kachoka kupiga propaganda!!!

Iran imewavuruga vibaya
Una maslahi yoyote na iran au una shares za mafuta labda
 
Chanzo cha taarifa?
 
Tujipe mda matokeo yatajidhirisha yenyewe.
 
Sahihi kabisa but bado ni muhimu kujipa muda; mashirika mengi ya ujasusi including Iran, Mossaid, CIA, M16 nowadays hawaamini sana kuweka kila kitu kwenye computer, exclusive information bado zinawekwa kwa hard copy kabatini kwasababu ya haya mambo ya udukuaji, walizinduka hasa baada ya yule jamaa wa USA bwana Snowden, mwamba alicheza na software akadukua data za kutosha
 
Israel iliwakamata watu wake kadhaa wiki zilizopita wakiwemo wanajeshi wa idf kwa kuifanyia kazi iran
 
Taarifa ya iran inakwambia wamepata info za aina zote na sio cyber attack hzi info ni dorect from their sources
—❗️🇮🇷/🇮🇱 BREAKING: Iran's IRIB State TV announces that Iran has obtained several thousands of extremely sensitive Israeli ingelligence files and data, including highly classified documents related to its nuclear weapons program at Dimona

The operation was carried out several months ago by Iran's Ministry of Intelligence and the IRGC Intelligence Organization, employing spies directly inside Israeli territory, who retrieved the data and made sure it was transfered to secure locations in Iran.

The operation is reportedly Israel's largest intelligence failure in history. The retrieved material consists of documents, images, videos, metadata, files, and other data.
 
😂 hivi unajua pegus walivyo hack iphone walitokea israel yani huyo iran anaendekeza dini kuliko kiduku anavyotumia wataalamu.
 
😂 hivi unajua pegus walivyo hack iphone walitokea israel yani huyo iran anaendekeza dini kuliko kiduku anavyotumia wataalamu.
Fafanua tupate elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…