Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV
Vip serikali inagoma nini kufanya hayo majadiliano,?!! wakati mahakama ilitoa amri ya majadiliano ya mezani kati ya pande mbili. Serikali sikivu huwa sikivu kwa wafanyakazi wake na hata wananchi wote kiujumla.
Walimu tusikate tamaa,wataeleweka tu.NO PROGRESS WITHOUT STRUGGLE!ALUTA CONTINUA!VIVA TEACHERS!VIVA CWT!WE HAVE TO SHOW THEM WE ARE THE JACK OF ALL TRADES.AMAAAAANDLAAAAAAAA
Hii move starling & killer washajulikana na starling akishajulikana inamaana msindi anajulikana nikimaanisha walimu bado kabisa hawajawa na ushirikiano wa kusema sasa tunagoma mpaka kieleweke