CWT imedanganya walimu kuhusu kupanda madaraja?

CWT imedanganya walimu kuhusu kupanda madaraja?

Mnasihiog

New Member
Joined
Jun 1, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali imekubali kupandisha walimu madaraja bila kutumia kigezo hiko kwani bado huu mfumo ulikuwa mgeni kwa walimu na ulikuwa na changamoto.

Lakini mpaka sasa maafisa utumishi wanakana kukubaliwa kwa jambo hilo kitu ambacho kinatia mashaka kwamba CWT iliwadanganya walimu kwani bado hicho kigezo kinatumika.
 
Back
Top Bottom