REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,814
Sitaji kuandika maneno mengi ila kwakua najua Chama cha walimu ndio chanye zamani ya kutetea maslahi ya walimu basi naomba viongozi wa hichi Chama ngazi ya wilaya mpaka mikoa
Wajalibu kuenda katika halmashauri zao nakuwaomba mafisa utumishi mikataba ambayo wameifunga na hizi tasisi ambazo si bank ili zinatoa mikopo kwa watumishi wa umma na makato ya hiyo mikopo inafanyika hazina
Waombe hiyo mikataba waone ni asilimia ngapi ya liba kwa mkopo mtumishi anaitajika kulipa pindi achikuapo mkopo
Wakishaona hiyo asilimia ambayo halmashauri zimefunga na hizi tasisi watafute na mwalimu yoyote aliyechukua mkopo katika tasisi moja wapo waone utofauti wa liba
Kiufupi halmashauri nyingi zinafunga mkataba wa asilimia 18 mpaka 19 wa liba ya mkopo lakini hizi tasisi hugeuza mikataba na kutoza asilimia 40 mpaka 50 liba kitu ambacho niwizi
Ushauri tu ili kuepuka huu wizi basi hiyo loosoni iwe inakokotoa na asilimia ya mkopo ili kuepuka huu wizi kama inavyokokotoa moja ya Tatu
Yani baada ya kuingiza tu makato na idadi ya miezi mtu anayoitajika kukatwa basi hii systeam iwe inapokea na kiwango cha mkopo ambacho mtumishi anachukua kinakokotoa liba yake ikoje kulingana na makato ya miezi iliyopo kuepuka huu wiki zidi ya watumishi wa umma hawa ndugu zetu walimu