CV za makatibu wa CCM wa mikoa

CV za makatibu wa CCM wa mikoa

Hao makatibu wanalipwa ruzuku ya ccm,chadema imeshauriwa ruzuku ishuke mikoani,mbowe anakataa,amekalia kujichukulia ruzuku kwa matumizi binafsi,anautumia udhaifu wa dr.slaa kutokuwa na kazi,kumuendesha anavyotaka,anajua dr.slaa,ana ndoa changa,inayohitaji pesa,mwambieni ruzuku aitoe iende mikoani,awe na makatibu kama hawa wa ccm mikoani,mmekalia majungu eti makatibu wa ccm hawajasoma,mwambieni mbowe ajiunge na masomo ya qt,ni aibu mwenyekiti wa chama kuwa shule less.
 
Ngoja nipitie , japo siamini sana kwenye kiwango cha elimu ya Darasani.......
 
weka na ya mboye mwenyekiti taifa(cdm)


Nape --- Form 4 mara 3 Div. 0

Mtoto wa Mkubwa peleka vyeti vya kugusha na kugushi wakampeleka India (mabingwa wa kugushi elimu)
 
Acha ujinga Yesu alisoma wapi?
Mtume mohamad alisoma wapi

Acha kuongea pumba bw
 
Hao ndiyo wanaoandaa report
Za maendeleo ya wananchi hata mpk
Mwisho wa dunia hakuna mabadiriko
 
Haya akina Lizaboni, CHAMVIGA, Simiyu Yetu, Ritz

Hawa ndio wanaoendesha mikoa ya CCM na ambao tunategemea waivushe Tanzania iwe nchi ya matunda na asali.

Oneni viwango vyao vya elimu.

Hao ni makatibu wa mikoa wa CCM. Hebu weka na ya viongozi wa chadema kuanzia mwenyekiti tuone😀😀😀:sly::sly::sly::sly::sly:🙄🙄:sly::sly::sly::sly::sly:😉😉😉
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom