CV ya Sakina Datoo

sakina amekulia katika maisha ya hali ya kawaida dar es salaam. jitihada za kusoma na kuwa na msimamo wa unachokisomea kukifanyia kazi kwa bidii ndio iliyompelekea sakina kuwa na cv nzuri mwenyezi mungu amjaalie zaidi na wengine wenye jitihada kama zake amin.
 

There is no doubt in my mind that Sakina Datoo is a jewel in the current infamous media industry in Tanzania. Kama mtamtumia kwenye uongozi wa vyama vya wanahabari nina hakika mtapata maendeleo hasa kwenye taaluma yenu na maslahi pia!! Binti huyu sio mchumia tumbo na hilo ndilo linalompa nguvu ya kuwa na principles juu ya taaluma yake na hapo ndipo alipomshinda bwana Mengi!!
 
ameolewa??ana watoto?? kwa elimu alo nayo cdhan km anamuda wa kuwa na familia
 
ameolewa??ana watoto?? kwa elimu alo nayo cdhan km anamuda wa kuwa na familia

Atakuwa ameolewa na bila shaka jina Datoo ni la mume wake. Her birth name is Sakina Dewji, ni tumbo moja na Kassim Dewji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…