CV ya Patrobas mrithi wa John Heche BAVICHA

​Ndo aina ya viongozi wa cdm hiyo chakula ndo mila yao hata babu muulize

Kumbe ndio siri ya kuropoka na muda mwengine kutangaza kuna watu wanataka kumuua.Asante kwa taarifa mkuu
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna watu humu JF waliona mbali. Pimbi linalonunulika kama machungwa ya Chamazi eti ndio akamrithi Heche. Yaani ukiliangalia unaliona ni lishamba tu na halifai.
 
Duuuh...wamemkata tena?

Kuna shida na documents zake nini au?

Au baraza limeona jamaa ni too hot headed?
Naona wameona yupo resi sana

Mambo kama haya ya kukubali kushiriki sherehe za Uhuru ,kichwa kama cha mdude hakiwez kukubali
 
Ni mwanacha mtiifu wapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…