GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,007
- 712
Kumbe ni Phd in Religious Law!!!!! na pia Priest!!!!!!! anatakiwa afanye kazi Vatican!
Who is thia mwanamke jamani??Kwa nini huyu anaitwa MAMA RAHMA AL KHAROOS na baadhi ya vyombo vya habari? Ni mama wa nani? http://4.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/TOLe1KpzweI/AAAAAAABTbU/VbMtGXc9Tpg/s1600/RBP2.jpg
Ha! mke ni mama salma tu? ina maana wale wengine wanne including duaghter of megji ni vimada au?
Hiyo CV mbona inamapungufu mleta mada? Kwahiyo huyo raisi wako hakwenda hata shule ya msingi au tuseme hata Middle school?? hembu nenda tena kamuulize!
Pitia ya Lipumba achana na ya JK,ya Lipumba ina kukonvisi kuisoma.Bro hujaisoma yote, jaribu rudia tena kuipitia
Si unaona CV ya Rais inavyo takiwa kuwa, sasa Slaa na ye amwage ya kwake. Hapo ndipo mtakapo jua mwalinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu
Si unaona CV ya Rais inavyo takiwa kuwa, sasa Slaa na ye amwage ya kwake. Hapo ndipo mtakapo jua mwalinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu
Phillemon Mikael, msisahau, huyu ndie mkuu wetu wa nchi, mambo mengine kama haya ya enzi za foolish age, mnayaacha au mnamezea.
Data kama hizi ndizo zinafanya JF ionekane inamvunjia heshima mkuu wetu, nashauri kwa tabia tumhukumu kwa tabia yake ya sasa na sio ya nyuma. Tukikomalia data kama hizi, hata kwa hao makamanda tunawaheshimu, hakuna atakayesalimika, mwishoe tutajaonekena tunaendekeza siasa za majitaka.
Nimepoteza mda wangu kusoma hii thread