Usisahau pia katika vyuo vikuu inaongoza kwa kutoa viongozi vyuo vikuu hususani marais na sababu ni uwazi msimamo na sio wanafiki ila wanaoleta mada kama hizi ni za kuwagawa watanzania kikabila kikanda tuache ndo kitu mwalimu Nyerere alichokitekeleza.