CV ya mgombea ubunge UKonga Chadema Asia Msangi

CV ya mgombea ubunge UKonga Chadema Asia Msangi

ccm ukiingia leo utapewa nafasi mwakani, kama ilivyokuwa kwa mtulia, mollel, kalanga na waitara. Walijiunga na ccm mwaka jana mwaka huu ndipo wamepewa nafasi ya kugombea. Hivi ccm mna cv za kibajaji, msukuma na deo sanga?
wote hao walikua ccm,au umeanza kufuatilia siasa mwaka huu?
 
ila wamerudi ccm na kupewa nafasi, wakati nyie wapiga filimbi mnaendelea kung'aa sharubu
Tatizo hatupo kwa ajili ya kupewa nafasi tunashughuli zetu zinatuingizia kuliko hizo nafasi
 
wote hao walikua ccm kabla

Hapo ndo wan’jua kuwa siyo vema kuwanyima nafasi wafia chama na kuwapa wakuja, wa papo kwa papo!sasa wanarudi nyumbani why complain when you despised your own members who have put your party ‘on the map’! they have endured all sorts of harassment and hardships in building a strong political party! However it is not a mistake to make a mistake BUT it is a mistake to repeat a mistake!
 
hata chadema wenyewe hawana cv yake
Chadema unaweza kuingia usiku,mchana ukapewa nafasi ya kugombea ubunge
mwita, na wengine waliounga mkono juhudi za kukopa waliingia lini ccm na wakawa wagombea lini! acha kujitekenya wewe
 
Back
Top Bottom