Jamani hatakama hampo dar, I la jueni ili tatizo halija anza jana, na hata kabla ya hao vijana kuanza safari yao...ila jana ilikuwa kufuru mitaa mingi ilivamiwa. Hatuawadanganyi, ila naamini kuna ndugu zenu wapohuku jaribu kuwa uliza pi
Yaani, hata mimi nashangaa, wananchi zaidi ya 1000 tunaonekana waongo kuhusu vurugu za jana..za panya road, watu tunakimbia kama vichaa njiani halafu hii leo inaonekana story za kutungwa tu...hii nchi hii,