Hivi ni saa ngapi saaa hizi?
kijembeee tufiakwa! najitemea mate kifuani! shindwaaa, ngoja Saint Ivuga apite huku,ndio utaeleza kisa cha wewe kuwa na shughuli kama unga wa ngani!JE ingekua cute is no more?
Hivi ni saa ngapi saaa hizi?
acheni makelele kuna mtu namtafuta sana humu chit chat sijui anaitwa platnom nini huko mpeni salamu zangu
la kuchumpa la kupalama. Watengwa orginale. Mia
nimeshamuona anaitwa platozoom huyu ndio ameingilia himaya