Customery Blocked By FRP

Customer binary blocked by frp inatokea baada ya kuwa simu ipo rooted na ime fanyiwa patch certificate. Ukizima tu na kuwaza unashangaa tu imekuwa hivyo wala si kwa ku reset kama wadau wanavyo sema suluhisho ni kutafuta firmware nyingine na ku flash lakini uwezi kupata network service mpaka tena uroot na ku parch certificate. Kufanya hivyo inahitaji box la z3x au mengine hivyo kumuona fundi ni lazima

Kwa uzamini wa Evari77
 
shida yangu kujifunza sio kutolewa
Hapo shida ni oem unlock imejitrip kwa issue ya oem unlock hii ni advanced developer setting katika android system ya sim hii huja baada ya ku click mara 6 hadi 7 kwenye build number katika setting ya sim so lazima uhakiki oem unlock iwe on ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…