Custom ROMS zinazofaa kwa TECNO L6

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
110
Habari zenu waungwana!
Kichwa cha habari hapo juu chahusika sana.
Ninatumia TECNO L6, MediaTeck (MT6582), Android 4.4.2.
Nahitaji kubadilisha ROM kutoka Stock kwenda Custom ROM zenye higher version kama Lollipop n.k.
Lkn nahitaji ushauri kuhusu CUSTOM ROM itakayofaa, Bora na mzuri kwa simu yangu.
Pia ningependa kufahamu kama Custom Roms za CYANOGENMOD, OMNI ROM, n.k zinaweza kukubali kwenye simu yangu?
...
Shukran!
 
ukitaka kuenjoy cyanogen na rom kari kama omni na zingine basi achana na tecno..tafuta brand za maana kama samsung lg htc na zingine kubwa.
mfano galaxy s2 inapata hadi cm13 ambayo ni android 6
 
Kama ipi hiyo?

maana niliyosikia cyanogenmod walijaribu kutengeneza for Android one devices.
 
ukitaka kuenjoy cyanogen na rom kari kama omni na zingine basi achana na tecno..tafuta brand za maana kama samsung lg htc na zingine kubwa.
mfano galaxy s2 inapata hadi cm13 ambayo ni android 6
Brand sio factor ya kubase kwani OEM kama samsung wanatumia soc zao za exynos ambazo huwezi pata custom rom ambazo ni based on cynogenmod zaid utapata modified stock roms. Hata htc wanatumia mediatek somehow. Kitu cha kuzingatia ni simu zenye snapdragon socs.
 
Hii hapa cyanogenmod for exynos galaxy s6 CyanogenMod 13 for Galaxy S6

Shida wanayopata developers ni kwamba Mediateck awapendi kurelease their sources.
 
Umesoma page yake whats not working! Vitu kibao, na hiyo ni 8 month tangia device iwe released ndio unapata cm based rom wakati devices kama za motorola zenye snapdragon ndani ya one months zishapata custom roms. Hii ni quote ya developer mmoja kwenye hiyo page uliyonipa
82b64c8cfe22b7558ac9fc970427e8cf.jpg
 
Hii rom imekuwa created December mwaka Jana na vyote hivi vimechelewa tu because Samsung walichelewa kuachia kernel sources zao kwa developers, walivyo release ndio ikawawezesha wote wafanye na it achukue mda sana maana hichi kitu kama comment ilivyo sema ni mara ya kwanza kwa wao kudevelop kwa exynos..

Sasa Tecno/mediatek wao hawaoni umuhimu kurelease kernel sources zao ndio maana Roms hamna zipo custom Roms lakini hazina ubora ule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom