Jaman wadau cna maana mbaya wala kusudi la kutaka kuziweka roho za watu juu,hzo ni tetesi tu,nilitaka kujua vp kuhusu wenzangu kwenye profile zao coz kama nilivyoeleza baadhi yetu ipo hvyo pengne ni hali ya kawaida,xo wadau msinichukulie kivile,cna maana hyo kama baadhi mnavyosema hapo juu.