Current Location: Special Thread

my current location/current view:
baada ya shughuli ya kutwa nzima ya kujitafutia riziki,nipo hapa kwa sasa.mitaa flani hivi hapa kibiti.

 
afsa wa TISS naon unatafta watu wako

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Latitude: -6ยฐ-49'-13"
(-6.82044208026)
Longitude: 39ยฐ17'20"
(39.28906530878)
Address: Zanzibar Ferry, Sokoine Dr, Dar es Salaam, Tanzania
Google Maps

Altitude -22.456789653 i.e. below sea level-Amazing.
 
mda huu hapa kibiti nikiwa na shemeji/wifi yenu tukichangamsha akili baada ya shughuli za mchana za kujitafutia riziki.

sebene na rumba za kina koffi olomide,fally ipupa na ferre gola kwa mbaaaaaaali.
 

Likitokea janga kama la Lucky vincent sijui watakuwa katika hali gani...
Tatizo tunasubiri janga litokee kwanza ndiyo tutafute kinga! Tunaenda kinyume na "tahadhali kabla ya hatari!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ