Badala ya kutengeneza viwanda kuongeza ajira nchini tuuze nje ya mipaka yetu, sera mpya ya CCM
(Kinana) ni kuwapa vijana bodaboda
(imported) ziwafanye vilema.
Yaani ungekuwa karibu ningekushika mkono!! Can you imagine January Makamba anafanya kampeni ya Urais kwa ku encourage vijana waendeshe bodaboda bila INSURANCE! HAHA! Huyo ndiye rais ajaye wa nchi yetu!!! Hawezi kubuni miradi wala hana PROGRAME ya kampeni dadadaddaddadadaddaaaaa! hii ndiyo Tanzania.