Lakini mimi nahisi hii sayari inasaport life ila inaweza kuwa ina"recover" kutokana na masahibu yaliyoikuta miaka millions iliyopita....its like world, baada ya kupigwa na meteor rock katika coast of Mexico millions years back....ilichukua miaka millions mingine kuweza kuruhusu sun lights, zenye virutubisho kufikia uso wa dunia.
Tusubili