CUF ZNZ wazuiwa kujiandikisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF ZNZ wazuiwa kujiandikisha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaitaba, Aug 4, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Watu wasiofahamika huko Zanzibar, wameanza kuzuia wanachama wa CUF kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,

  Watu hao wanapita kwenye maeneo ambayo ni ngome za CUF na kutangaza kuwa atakaye toka nje na kwenda kujiandikisha atakipata cha moto.

  Nawataharifu washika dau wote katika hili kulishughulikia haraka sana kabla mabaya zaidi hayajatokea
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa nini hawafahamiki?
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri ni chukua chako mapema, maana chanzo ni TBC Taifa, hata wao hawakusema ni hakina nani,
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Viongozi wao walishamaliza ile "operation zinduka against Chadema?"
  Maana badala ya kutumia nguvu zao kuzuia mambo kama haya, wao wanageukia Chadema kana kwamba ndio adui yao
   
 5. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mabomu na risasi vimelindima leo huko Zanzibar, na hatimaye kile kilichodhamiliwa (kuzuia kuandikisha wapiga kura) kimekamilika, maana zoezi hilo limesitishwa leo.

  Tutarajie mauaji mengine mwakani,

  Wenye familia huku bara ni vyema wakae mkao wa kupokea wakimbizi, dalili sio nzuri.
   
 6. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tabaan . Dunia inabadilika. Angalia hali inavyokwenda Ulimwenguni na zile sehemu ambako makundi ya wanaoshindwa katika kura (uchaguzi) halali yanavyoshughulikiwa pale wanapoleta fujo. na angalia jinsi gani vilio vyao vinavyozingatiwa wakati huu. Usidhani mkilia kama mlivyolia wakati ule -mtasikilizwa kama mlivyosikilizwa wakati ule. La busara wakati huu ni Dola kuimarisha tu vyombo vyake vya ulinzi ili kuweza kukabili chochoko zozote za vitimbakwiri.
   
Loading...