Cuf yazidi kubomoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf yazidi kubomoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tembeleh2, Mar 7, 2012.

 1. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hali imezidi kuwa tete ndani ya chama cha wananchi CUF. Ngome yake kubwa ya mkoa wa Mtwara imepoteza wanachama 463 ambao wamehamia chama cha NCCR - Mageuzi. Mwenyekiti wa chama cha NCCR - Mageuzi ndugu James Mbatia ndio aliwapokea wanachama hao na kuwaambia kwamba chama cha NCCR - Mageuzi ndo kina demokrasia pana. Wana JF je huu ndio mwanzo wa mwisho wa chama hicho???
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hadi Pemba tumeambiwa jana kuwa watu wamebwaga manyanga, sembuse Ntwara!
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na Leo Tarime!
   
Loading...