CUF yapoteza mvuto Mkuranga

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
7,194
Points
1,250

matumbo

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
7,194 1,250
Tangia jana wanachama wa Cuf hapa Mkulanga wamekuwa wakipita kutangaza mkutano wa chama chao,ambao utafanyika leo jumamosi katika viwanja vya magodauni mkuranga mjini...
Mgeni rasmi anatangazwa kuwa atakuwa Julius Mtatiro ambaye pia atautubia..

Kinachosikitisha hapa ni mwitikio mdogo wa watu kuhusu huu mkutano uku gari lao la matangazo likizomewa na kuitwa CCM B..

Hali hii imezua mshituko miongoni mwa makada wa CUF maana wameanza kupata wasiwasi wanaweza kupata watu wanane kama Arusha.ukizingatia Mtatiro ata hawamfahamu wengine ndio wanamsikia kwenye gari ya matangazo sijui itakuwaje maana Maalim Seif mwenye chama chake hatokuwepo.

Source:mimi mwenyewe nipo Mkuranga na baadae nitaleta picha za mkutano.
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,996
Points
2,000

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,996 2,000
SASA CUF NAYO ITAMBE??IJIGAMBE??

ITAMBIE NA IJIGAMBIE KITU GANI??

ETI NAYO IJIGAMBE,,IJIGAMBE??IJIGAMBE INA NINI???


:madgrin: :madgrin:
 

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,132
Points
1,195

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,132 1,195
CUF wanapata wanachostahili. Ni CCM B hao na wapo serikalini. Ni sehemu ya matatizo ya nchi hii.
Kumbe CHADEMA ni chama cha KIDINI, wewe hua nakuona sana kuchangia katika nyuzi zinazohusu UDINI! Unaonekana wewe ni mtu HATARI sana na tena ni mwanafunzi wa Kambarage Nyerere muasisi mkubwa wa UDINI.
 

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,714
Points
2,000

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,714 2,000
Kumbe CHADEMA ni chama cha KIDINI, wewe hua nakuona sana kuchangia katika nyuzi zinazohusu UDINI! Unaonekana wewe ni mtu HATARI sana na tena ni mwanafunzi wa Kambarage Nyerere muasisi mkubwa wa UDINI.
sasa JK, Wassira, Membe, Lowassa ndo balaa. Wamelelewa na huyo huyo na bado mnawachagua.
 

Forum statistics

Threads 1,389,530
Members 527,939
Posts 34,027,421
Top