Levi isaya
Member
- Apr 1, 2013
- 18
- 0
Wanachama wote wa cuf leo kuna mkutano mkubwa hapa gongolamboto mwisho mahali alipozaliwa, na kukua na mpaka ss anakaa huku, meya wa ilala, lengo ni kumwaga uzahifu wa meya huyu ktk kutelekeza sela za ccm. Kwan ameshindwa kabisa.mfano alihaidi kujenga ofisi za ccm huku mpaka leo hajajenga na eneo husika kulikuwa na ofisi ndogo za chama amezibomoa mda mrefu lkn ameshindwa kbisa kujenga izo ofisi. Pili amebomoa soko la g/kwalala lkn ameshindwa kulijenga lenye kiwango kama la zaman. Huku kwetu tunamuita mbomohaji asiyejua kujenga.