CUF wamshauri JK aunde serikali ya mseto

Maalim Seif Sharif Ahmad kashamweleza kuolewa ndio deal.
Mtumikie mume kwa utiifu matatizo yatakuwa historia.
 
Ametumwa na Magamba huyo, siyo akili yake!
 

Kama JK anaweza aunde kwa kushirikiana na CUF, sisi hatutaki na hatuna muda
 
CUF hawashindani kushinda chaguzi tena. Wanasubiria kujumuishwa kwenye serikali za mseto. Kama Lipumba akishika nafasi ya pili 2015 mtasikia akianza kelele za CUF kujumuishwwa kwenye serikali mpya.
 
Na OLE WENU!

Wapi mliona upinzani ukistawi ndani ya serikali ya Umoja wa Kitaifa? Tazama TSHANGIRAI. Tazama RAILA na Tazama SEIF SHARIF......Hooi!
 
Sera zimekwisha jamani hiyo ndo karata yao ya mwisho!
 
bora maana, anaona Urais hapati mwenzie Seif kala shavu Znz
 
mseto na nani huko CUF wala CDM hakuna wa kuunda serikali, labda mseto wa timu ya Taifa
 

Jamaa anataka fathila. Sindio alisema kwenye msikiti alimuokoa kikwete kwenye uchaguzi uliopita
 
BAADHI YA MAMBO ALIYOPPIGANIA LIPUMBA kama kodi ya kichwa ifutwe ambayo ilifutwa na mkapa mwaka 1998,elimu bure mpaka chuo kikuuu ccm wameiga mpaka kidato cha nne lakini wameshindwa kuboresha sababu sera si yao,ni wakati wa kuwapisha wenye sera zao kutekeleza, kama sera ya katiba mpya wameidaka wanashindwa kutekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…