CUF upande wa visiwani yathibitisha kuwa ni chama kinachowaunganisha wazanzibari

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
538
Ushindi wa chama cha CUF wa viti vitatu kwenye ngome ya chama cha mapinduzi inadhihirisha kuwa chama hiki ni cha wa wazanzibari wote tofauti na CCM ambayo huishia kupata viti upande wa unguja tu. Kwa mantiki hiyo CUF wanastahili kupewa Nchi ya Zanzibar waiongoze na CCM wapewe nafasi ya umakamu wa raisi wa kwanza
 
Hongera sana Chama Cha Wananchi (CUF),kwa ushindi mliyoupata!!
 
Wanastahili kwe kweli maana Pemba CCM hawana kiti hata kimoja japo cha udiwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…