CUF: Taarifa kwa vyombo vya habari

Kwa kweli dhulma huwa inauma sana lakini siku zote mnyonge anapofikia kusema inatosha huwa ni hatari sana.
Inaudhi na inauma sana mtu unapohisi kunyanyaswa ktk nchi yako. Kiukweli wanaohusika na huu uonevu waone aibu na hatimaye waache vitendo hivo vya kuudhi.
 
Mwaka 2005 aliyekuwa IGP Omari Mahita aliingia kwenye mtego wa malumbano na CUF aliposema kama wao ni ngangari sisi ni ngunguri. IGP Mangu naye kaukwaa mtego huo na sasa anaonekana kama Msemaji Wa CCM
 
Ubabe unamwishowake.
It is very true.

Hata kama kiburi cha watawala wetu ni kutokana na kuamini kwao kuwa ndiyo 'wanaomiliki' magari ya washawasha na kujua kuwa wakati wote watakapoagiza magari hayo yawasambaratishe wananchi wasio na hatia, Polisi wetu wataendelea kutii amri........

Lakini wajikumbushe kidogo kilichotokea nchini Misri miaka michache iliyopita ambapo aliyekuwa Rais wa wakati huo Mubarak alikuwa anaviagiza vyombo vyake vya dola kuasambaratisha maandamano ya wananchi, hata hivyo ulifika wakati wananchi hao wakawa hawaviogopi hata vifaru vya kijeshi na badala yake walikuwa wanavikwea kama sisi tunavyoyakwea mabasi ya mwendokasi!
 
Kilichoitwa, 'Uchaguzi wa marudio Zanzibar' ni aibu kwa Taifa. Dunia nzima wanajua hakukuwa na uchaguzi. Ni jambo la hekima, maisha ya binadamu yakamalizika kwa heri kuliko aibu. Dr. Shein kwa heshima ya utu na nafsi yake, alistahili heshima kuliko kumaliza muhula wake wa pili kwa namna hii.

Wazanzibari wanastahili kutafakari kwa makini, ni wapi wanataka Zanzibar ifike. Ubabe ambao unashabikiwa na Tanganyika hamsaidii Mzanzibari yeyote. Zanzibar ni ndogo na ina watu wachache lakini inastahili heshima maana ndani yake kuna wanadamu sawa na wale walio katika ardhi kubwa ya Tanganyika. Tanganyika ilistahili kuisaidia Zanzibar kujitawala kidemokrasia kuliko kusaidia kuimarisha mfumo wa kidikteta. Yaani uchaguzi ufanyike, majibu yatangazwe halafu mtu mmoja afute matokeo yote kwa vile tu CCM haikushinda! Hii itabidi iwekwe kwenye kumbukumbu za kihistoria ili wajukuu zetu waje wasome na kuona jinsi udikteta ulivyowahi kutamalaki katika Afrika. Hii ya Zanzibar utakuwa ni mfano mzuri.
 
Kama walikuwa na uhakika wa kushinda kwa nini walikimbia uchaguzi??

Wangetumia fursa ya uchaguzi kujipanga zaidi badala yake wakakimbia!!

Sasa ukisusa sisi twala.

CC

Cuf
 
Kama walikuwa na uhakika wa kushinda kwa nini walikimbia uchaguzi??

Wangetumia fursa ya uchaguzi kujipanga zaidi badala yake wakakimbia!!

Sasa ukisusa sisi twala.

CC

Cuf
Hizo tambo zenu ambazo huwa mnazitoa kuwa Zenji haiwezi kutolewa kwa 'vijikaratasi' vya kupigia kura......

Kauli hizo mnazitoa mkiamini nyinyi ndiye 'mnayemiliki' vyombo vya dola, fikra zinazoweza kuliangamiza Taifa letu.
 


Asante sana mkuu.....
umemaliza maneno yote, mwenye masikio na asikie !
 

Mburukenge sifimaji ya mamaako wewe
 
Mungu atawalipieni kisasi kwani yeye ndie mkuu wa wote.

Usimwogope mwanadamu auae mwili na asiweze kuiua roho bali mwogope mwenyezi mungu tu.

Wakati wa mungu kulipa kisasi ukifika kila mtu atastaajabu.
 
Wakoloni walijichimbia kaburi lao wenyewe,jadili kwa mifano halisi.
 
Kama walikuwa na uhakika wa kushinda kwa nini walikimbia uchaguzi??

Wangetumia fursa ya uchaguzi kujipanga zaidi badala yake wakakimbia!!

Sasa ukisusa sisi twala.

CC

Cuf
Je nn kilicho sababisha kuuvunja uchaguzi
 
....... mimi na nyumba yangu hatujawahi kuwa na imani na ccm na haitakaa itokee.....
 
Sasa mnachoogopa ni nini? Kwani Mangu akimkamata (arrest) Seif si atampeleka mahakamani. Na kama hana hatia si mahakama ndiyo itakayoamua kama hicho anachokifanya ni halali kwa mjibu wa sheria zinazotawala nchi yetu na hivyo mahakama itamruhusu aendelee kufanya hicho ambacho Mangu anaona ni kinyume na sheria zetu.

Hii ndiyo kazi ambayo Mangu ameajiriwa kufanya - kuwezesha utekelezaji wa sheria za nchi kwa kuwafikisha wale wote wanaozaniwa wamekiuka sheria. Hivyo hili likifanyika hii chapter ya malalamiko na misononeko kuhusu kilichotokea katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar itakuwa imefungwa na wananchi wa Zanziba watatulia.

Acha sheria za nchi zichukuwe mkondo wake. Acha mihemuko. Maneno mengi yote haya uliyoandika ya nini? Unaogopa nini? Kwani Mangu na jeshi la polisi watamudhuru Maalimu?
 
Una akili kweli au umevimbiwa maharage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…