cuf , hawa cuf......
mgombea wao ndo huyu Lipumba........................?
CHADEMA haina muda wa kurumbana na kichama hiki kilichojichimbia PEMBA, sie tunazungumzia zaidi ya jimbo moja la Tarime, sie tunaangalia namna gani kama Chama kinapeleka wabunge wakutosha Bungeni, tunajua adui yetu KISIASA NI ccm , wala si cuf, wakati cuf inafikiria kuhuisha umaarufu wa CHADEMA, Sie tunapambana na yule anaefuja uchumi wetuu, yule anaelea kina Mramba, Rostam Aziz na aina zingine za mapapa na mabaka uchumi.
cuf .....HAMJUI HATA ADUI YENU NI NANI, LIPUMBA hawezi kupata kura hata laki 4, Tanzania Bara., haihitaji uwe na nguvu za kichawi kujua hilo.