Katika vikao vya UKAWA vya kugawana kata za manispaa ya morogoro viongozi CUF wamelazimisha wapewe kata nyingi wakati hawana uwezo wa kusimamisha wagombea katika kata hizo.matokeo yake wanawatafuta wagombea wa vyama vingine watoe pesa ili wawaachie kata hizo.mchezo huu utaigharimu UKAWA ,na kuna uwezekano mkubwa CCM wakapita bila kupingwa katika kata hizo.Sakaya na Mnyika chukueni hatua za haraka kunusuru Hali hiyo katika kata hizo kwa kuruhusu chama kingine kuchukua fomu kama tahadhari.mkipuuzia hili imekula kwenu.
Unashangaa nini? Mbona Lowasa katoa fedha ili agombee Urais kupitia UKAWA?
Mtu aingie chama siku hiyo hiyo apewe kugombea Urais siku hiyo hiyo?
Katibu Mkuu wa Chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?
Hapo sasa!
Ewe!
Huu ndiyo unafiki, siku zote mmekuwa mkimnanga vibaya babu Dr.W.Slaa , leo hii mnajifanya mnamapenzi mema naye.
Acha kauli za kipuuzi nani kakwambia lowasa kanunua ukawa? Mtaisoma namba mwaka huu.
Huwa mtu anaesema lowasa kaninunua chadema namdharau sana,tena sana,namuona kama hajui siasa ni nini?? Hivi mtu unawezaje kununua chama?? Chama cha siasa sio chama cha mpira,,yaani mtu anapayuka kabisa kwamba lowasa kanunua chama?? Kwenye siasa mtu kuhamia cku hiyo hiyo na kupewa usukani sio shida jamani,ilimradi tu awe anafiti nafasi hyo,wewe unaesema chama kimenunuliwa hebu jipime kwanza kama unajielewa,,lowasa na slaa wote ni wanasiasa, kinachoangaliwa ni yupi mwenye wafuasi wengi,huyo ndo ataleta ushindi
Mpaka hapa mnadhihirisha mnacheza beats za ccm!,kuisoma namba ndo nini umekuwa TOT?Acha kauli za kipuuzi nani kakwambia lowasa kanunua ukawa? Mtaisoma namba mwaka huu.
Kama nyinyi mlivokuwa mnananga lowassa
Mimi nilimsema specifically faizafox , kama wewe uliniona ninamfanya huo unafiki then hii comment yako itakuwa sahihi. Sijui kwanini na wewe unashabikia unafiki wa watu halafu unajiita Great Thinker.
Unashangaa nini? Mbona Lowasa katoa fedha ili agombee Urais kupitia UKAWA?
Mtu aingie chama siku hiyo hiyo apewe kugombea Urais siku hiyo hiyo?
Katibu Mkuu wa Chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?
Hapo sasa!
Ewe!
CUF wanahujumu UKAWA au WEWE ni mpenzi wa CHADEMA na unadhani wanahujumu CHADEMA? acheni kutumia jina UKAWA kujifichia!
Huu ndiyo unafiki, siku zote mmekuwa mkimnanga vibaya babu Dr.W.Slaa , leo hii mnajifanya mnamapenzi mema naye.
Mkuu sijui utajibu wangapi.Huwa mtu anaesema lowasa kaninunua chadema namdharau sana,tena sana,namuona kama hajui siasa ni nini?? Hivi mtu unawezaje kununua chama?? Chama cha siasa sio chama cha mpira,,yaani mtu anapayuka kabisa kwamba lowasa kanunua chama?? Kwenye siasa mtu kuhamia cku hiyo hiyo na kupewa usukani sio shida jamani,ilimradi tu awe anafiti nafasi hyo,wewe unaesema chama kimenunuliwa hebu jipime kwanza kama unajielewa,,lowasa na slaa wote ni wanasiasa, kinachoangaliwa ni yupi mwenye wafuasi wengi,huyo ndo ataleta ushindi
Lowassa katoa Tshs ngapi?Mbona hajakamatwa mpaka leo?Nchi hakuna?Lowassa anatoa tu hela au?Mbona mnaweweseka?Mnajiabisha wenyewe na aina zenu za commentsUnashangaa nini? Mbona Lowasa katoa fedha ili agombee Urais kupitia UKAWA?
Mtu aingie chama siku hiyo hiyo apewe kugombea Urais siku hiyo hiyo?
Katibu Mkuu wa Chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?
Hapo sasa!
Ewe!
Katika vikao vya UKAWA vya kugawana kata za manispaa ya morogoro viongozi CUF wamelazimisha wapewe kata nyingi wakati hawana uwezo wa kusimamisha wagombea katika kata hizo.
Matokeo yake wanawatafuta wagombea wa vyama vingine watoe pesa ili wawaachie kata hizo.
Mchezo huu utaigharimu UKAWA ,na kuna uwezekano mkubwa CCM wakapita bila kupingwa katika kata hizo.
Sakaya na Mnyika chukueni hatua za haraka kunusuru Hali hiyo katika kata hizo kwa kuruhusu chama kingine kuchukua fomu kama tahadhari.
Mkipuuzia hili imekula kwenu.
weka ushahidi .Unashangaa nini? Mbona Lowasa katoa fedha ili agombee Urais kupitia UKAWA?
Mtu aingie chama siku hiyo hiyo apewe kugombea Urais siku hiyo hiyo?
Katibu Mkuu wa Chadomo, babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa yuko wapi?
Hapo sasa!
Ewe!
hivi huu uzushi na uzandiki wako umekusaidia nini tangu uanze kuutenda ?Wewe bwa'mdogo nadhani wewe bado kinda kwenye maswala ya siasa za hapa tz! Ulishawahi kusikia Mbowe amekanusha suala la 10bn? Nakupa siku nzima ya kutafakari.. Usikurupuke kujibu hilo swali..