CUF mjiondoe katika serikali ya Zanzibar

CUF mjiondoe katika serikali ya Zanzibar

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,190
Reaction score
162,698
Hivi CUF bado mnaona kuna uhalali wa kuendelea na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar?Hii nchi bila watu kufanya maamuzi magumu hatutafanikiwa.
 
Nakutumia namba ya Maalim sasa hivi umfikishie ushauri huu maridhawa!
 
Kumbukeni kwamba SUK ni jambo la kikatiba na siyo swala la vyama so viongozi makini hawakurupuki hutafakari kwanza kwani wananchi ndio msingi wenyewe
 
CUF wanasubiri kwanza muwafukuze, kama mlivyomfukuza Mwanasheria Mkuu!!!!
 
Kumbukeni kwamba SUK ni jambo la kikatiba na siyo swala la vyama so viongozi makini hawakurupuki hutafakari kwanza kwani wananchi ndio msingi wenyewe

Najua ni jambo la kikatiba lakini haina maana unalazimika kushirikiana na watu wanaosaliti umma.
 
Umma ndo ulisababisha CUF kuunda SUK wakijitoa wanasaliti umma. Dawa yao ni kuwagomea humo humo. Huyu kushoto huyu kulia, unamwaga mboga namwaga ugali. CUF kaza but nadhani na Mwanasheria mstaafishwa yuko nyuma yenu. I love Zanzibar.
 
Hivi SUK si matokeo ya katiba ya zanzibar ya 2010 au?
Na rasimu mpy si imeitambua katiba ya 1984 na kubaskip ya 2010?
Na mwanasheria CAG si kafutwa kazi kwa mujibu wa katiba ya 1984?
Sasa kama katiba ya 2010 ambayo ndio msingi wa kuundwa SUK imekuwaparalysed,kuna uhalali gani kuendelea kuwepo hii serikali?
 
Hivi CUF bado mnaona kuna uhalali wa kuendelea na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar?Hii nchi bila watu kufanya maamuzi magumu hatutafanikiwa.

Ndio maana chadema walishindwa kuwaelewa from the beginning!

Maamuzi magumu ndio dawa ya hawa mafisadi!
 
Jamani ndugu zetu wa Tanganyika ama wengine hupenda kujiiita WABARA, sijui Bara gani wanokusudia, Africa, Ulaya ama Bara Asia..... watu nyie hamutaki kuelewa kwamba Upepo wa kisiasa wa Zanzibar tofauti kabisa na huko kwenu, hivi unaposema CUF ijitoe kwenye GNU eti kwa kisingizio cha kwamba CUF imeshindwa utetezi wa Zanzibar sio kweliiii.....
Dunia imeshuhudia nyuma tulikotoka na mapambano ya CUF labda hawa vijana wadogo wa CDM hawajazaliwa cku zile ndio maaana kwao wao hujiona wao tu ndio wapambanaji.....
 
Back
Top Bottom