CUF kupinga ushindi wa Habib Mnyaa Mahakamani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Chama cha Wananchi CUF kinatarajia kwenda mahakamani kupinga kuchaguliwa kwa Mhandisi Habibu Mnyaa kuwa mbunge wa bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Du kuna vyama tushavizoea kutwa kucha vyenyewe ni mahakamani tu, cha ajabu vikiibuka kidedea, utasikia "mahakama imetenda haki" lakini vikivurugwa sasa "ooh mahakama imeingiliwa, mahakama za ccm, mara sizonje kaingilia uhuru wa mahakama"................ ni shida tu
 
Magufuli ujanja wake Haufiki Mahakama kuu , mbwembwe zake ni huko chini tu kwa akina Hakimu mkazi.
 
CUF IL (Ibrahim, Sajili, NEC, Chipika na Katibu, Magdalena, Checheme) zidi ya CUF MS. Cha ajabu wing yenye wabunge wengi ni CUF MS, na yenye katibu mkuu ni CUF MS. Wabunge wa CUF ndio wameiwezesha kupata kiti kimoja EALA halafu watu waliokimbia uchaguzi na wenye wabunge sio zaidi ya 3 upande wao ndio wanataka na wamepewa kiti cha CUF EALA na ndio wanaopewa RUZUKU na sajili na ndio mtu wao aliyepitishwa na bunge la CCM. Hii sarakasi haita tuacha salama. Vichwa vyetu vina matatizo. Walipowaweka kapu moja wakafika 4 kanuni inataka wapendekeze 1-3. Kutuzuga yule jamaa akajifanya anajitoa wakati amesha chelewa na kanuni imeshavunjwa. Mbunge alipouliza hii sarakasi akitaka kutuambia yaliyomo kwenye barua inayotoa jibu la bunge kuhusu huu utata, chipika akamwambia barua uliyokuwa nayo imefutwa na kufunga mjadala.
Ubunge wa Mnyaa uko mashakani sana. Baada ya kusema hayo yote tuachie sheria ufuate mkondo wake tujifunze.
 
umeisha sema vikivurugwa,maana mahakamani sio mahali pakuvurugia vyama au mtu.
 
Du kuna vyama tushavizoea kutwa kucha vyenyewe ni mahakamani tu, cha ajabu vikiibuka kidedea, utasikia "mahakama imetenda haki" lakini vikivurugwa sasa "ooh mahakama imeingiliwa, mahakama za ccm, mara sizonje kaingilia uhuru wa mahakama"................ ni shida tu
Kidogo jitambue au na wewe unachambia gunzi la Hindi habibu mnyaa alishafukuzwa uanachama WA CUF kwa hiyo Hana sifa ya kusimama kugombea kwa tiketi ya chama Ni sawa na Sophia Simba aende kugombea ubunge WA Eala wakati alishafukuzwa uanachama ccm..
Sasa mahakama au sizonje anaingiaje hapo so basically Hana sifa ya kuiwakilisha CUF..
 
Inabidi mchungaji gwajima akasaidie kutafsiri Sheria maana yeye kila kitu mjuaji.
 
Kidogo jitambue au na wewe unachambia gunzi la Hindi habibu mnyaa alishafukuzwa uanachama WA CUF kwa hiyo Hana sifa ya kusimama kugombea kwa tiketi ya chama Ni sawa na Sophia Simba aende kugombea ubunge WA Eala wakati alishafukuzwa uanachama ccm..
Sasa mahakama au sizonje anaingiaje hapo so basically Hana sifa ya kuiwakilisha CUF..
Mkuu cuf wanawezaje kumfukuza wakati wamekimbia ofisi anamiliki lipumba too sad
 
Ni vema Tanzania ikatimuliwa kwenye jumuiya ya africa mashariki ili kuepusha aibu.

Ndio nchi pekee inayoleta siasa kwenye kanuni .

Vijana acheni roho mbaya. Kwa vile mmekwama mnadhani Tanzania itaondoka EAC? Tafuteni wagombea wengine. Ya CUF waachieni wao wanajuana.
 
Back
Top Bottom