CUF kumrejesha Prof Lipumba

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,310
6,544
Raia Tanzania lina habari kamili......na kama ni kweli itakipa CUF ahueni maana kimemezwa.
lipumba.jpg
 
SIPRITE
Ameona aiwaishe habari ili awe wa kwanza, hayo mambo mengine ya habari kamili baadae!!.
 
Nimegundua watu wanaleta vichwa vya habari fulani kwa malengo fulani !!
hata kama
ameshasoma ndani kilichoandikwa
Ili kupotosha.tusijadili maswala / ukweli
Anawahi kuiweka Hapa JF ili

Kuipoteza akijua Ukweli ukijakuwekwa baadaye inakuwa imeshapoteza maana !!

Nchii/JF inaogozwa Na udaku sasa
Kwa nini usilete Habari kamili kama unaona umuhimu wa kuiposti ?

Mimi mwemyewe nimeona lile gazeti lakini siku hizi

kimebakia sio makini kipeeruusha kile
Ni wakati wa JF kufuta
Uzi wowote ambao chanzo

chake cha (Kichwa cha Habari)
JF ipochukua hatua inaelekea kupoteza Ladha !!

kimetoka kwenye Magazeti kisicho Na Habari Kamili !
Na tabia hii IPO sana lumu.ba
 
itakuwa ajabu sana ! mtu aliyekishusha chama anarejeshwa baada ya wengine kukipandisha ili akishushe tena ?
 
Nimegundua watu wanaleta vichwa vya habari fulani kwa malengo fulani !!
hata kama
ameshasoma ndani kilichoandikwa
Ili kupotosha.tusijadili maswala / ukweli
Anawahi kuiweka Hapa JF ili

Kuipoteza akijua Ukweli ukijakuwekwa baadaye inakuwa imeshapoteza maana !!

Nchii/JF inaogozwa Na udaku sasa
Kwa nini usilete Habari kamili kama unaona umuhimu wa kuiposti ?

Mimi mwemyewe nimeona lile gazeti lakini siku hizi

kimebakia sio makini kipeeruusha kile
Ni wakati wa JF kufuta
Uzi wowote ambao chanzo

chake cha (Kichwa cha Habari)
JF ipochukua hatua inaelekea kupoteza Ladha !!

kimetoka kwenye Magazeti kisicho Na Habari Kamili !
Na tabia hii IPO sana lumu.ba

Hujalazimishwa kuchangia....ungepotezea tu, kuliko kujidai upo smart kumbe bure tu, tayari umeshatake side.
 
Mzee wa nyang'anyang'a, ndembe ndembe (Duni) wamemchinjia baharini? Mbona hasikiki!
 
Back
Top Bottom