Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,707 Reaction score 1,729 Apr 28, 2013 Thread starter #21 Mwanafikra huru said: Vyama vya upinzani umoja wenu ndo kunaweza kuwa poneo kwenu kuinusa ikulu ubinafsi na woga wa kuwa tukiungani mimi ntakuwa nani au ntabaki kama nani bado safari ni ndefu Click to expand... Napendekeza tuviite VYAMA MBADALA VYA SIASA. Hili la upinzani linaonesha chuki, uadui na visasi zaidi badala ya upendo, amani na mshikamano.
Mwanafikra huru said: Vyama vya upinzani umoja wenu ndo kunaweza kuwa poneo kwenu kuinusa ikulu ubinafsi na woga wa kuwa tukiungani mimi ntakuwa nani au ntabaki kama nani bado safari ni ndefu Click to expand... Napendekeza tuviite VYAMA MBADALA VYA SIASA. Hili la upinzani linaonesha chuki, uadui na visasi zaidi badala ya upendo, amani na mshikamano.
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,707 Reaction score 1,729 Apr 28, 2013 Thread starter #22 Kyenju said: Wanamsaidia kaka mkubwa, au wametumia gia hii ili kuwapata watu wengi kwenye mkutano wao, si unajua kwasasa cuf ni mwendo wa kinyonga. Click to expand... Kweli hawana mvuto kabisa hawa. Inabidi wabadirishe safu ya uongozi wa juu.
Kyenju said: Wanamsaidia kaka mkubwa, au wametumia gia hii ili kuwapata watu wengi kwenye mkutano wao, si unajua kwasasa cuf ni mwendo wa kinyonga. Click to expand... Kweli hawana mvuto kabisa hawa. Inabidi wabadirishe safu ya uongozi wa juu.