Huo mkutano unahusiana na ile kampeni yao ya mchakamchaka?CHADEMA inajulikana kufanya mkutano wao leo mjini Tabora, CUF mnapita leo hii hii na tangazo, tena na maspika makubwa makubwa, la kufanya mkutano wenu kesho. Sasa mnaajenda gani? Hamuoni huku ni kuwachanganya wananchi? Ushauri wangu kwa nyie vyama MBADALA ukiona mwenzio kakutangulia kupita leo basi wewe pita baada ya wiki! Sio kama mnavofanya hivi, au kuna namna?
"CHADEMA mna tabia ya kuingilia ngome zetu"
Nadhani hujajua aina za uandishi, don't you see double quotation marks " " ?Kuwa na AIBU basi.