yaani cuf mmeikalia 'nanihii' halafu bado mnatamba? no wonder mzee wenu amenyoa sharubu zake za kambare...ndoa tamu bana.CUF ipo na ipo ngangari kinoma ,kwanza tukubaliane kuwa katika CUF hakuna alie juu ya sheria ,Hamadi huyo alietimiliwa juzi ni mmoja kati ya waasisi wa CUF lakini kwa usiri na ujuaji wake leo hii akienda Zenji ni aibu tupu.
CDM (Chama Duni Mitaani) ni Chama kisicho na dira kwani nia na dhamiri yake ya kuleta fujo hapa Tanzania zimejulikana na zinazimwa kwa ustadi mkubwa sana ,mtakuja kushangaa hapo baadae ,msiseme hamkuambiwa.
CUF ipo na hazina ya wanachama wake ipo tena inaongezeka kwa hali ya kutisha ,wanachama ambao wanaamini kabisa kuwa wao ndio wenye Chama na sauti yao ndio ya MWISHO.
Chadema ilikuja na hoja ya kulipua mabomu pale bungeni ,wakajaza majungu hadi serikali na bunge wakawa hawasikilizani ,bahati nzuri au mbaya ykapita ya kupita mambu yakatulizwa na leo hii hatuwasikii CHADEMA kulipua mabomu wala kutega jipya ,hapa nasema wamezimwa vibaya sana.
Chadema walitaka kuisambaratisha nchi kwa kutumia uchaguzi wa Arusha kwa kweli wakasambaratishwa na wengine kuwekwa lockup ,eti wakakusanyana kwenda kituoni maji waliita mee ,nia na lengo lao likazimwa kiurahisi kabisa.
Haya hivi karibuni wamejaribu kuchokonoa katika idara za serikali na kuwashawishi madaktari na walimu wanafunzi ,nalo hilo halikufanikiwa leo limezimwa kiurahisi kabisa kwa kuahidiwa kuwa mambo yatatulizwa.
Sasa angalieni tifu la CUF kule Zanzibar leo hii CUF imo kwenye serikali moja kati ya serikali za MUUNGANO ,mnabaki kubeza eti ndoa ,mmeona eei !
CUF imeshafukuza wanachama wake wakuu akina Mapalala ,Salum Msabah ,Jidawi ambao hawajulikani hata wapo wapi na juzi tu Hamadi ,nae miezi yake mitatu ya kupapatika ikimaliza hiyo haijulikani ataangukia wapi inasemekana NCCR yeye na Zitto.
Hata huko wamekabwa makoo wameishia msikiti wa Mpowora wakiwa hoooi! bin taabani.Cuf wako Ndanda ku ocupy
nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi cuf iko wapi?mbona upinzani ni chadema tu bungeni?.offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?niwaulize wanachama wa cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na hamad rashid na kina doyo!
nimechungulia tu,napita jamani.Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'
[/B]
Mkuu, hapo kwenye bold....naomba usahau hiyo kitu! chadema ni chama makini na kina watu makini sana kuliko chama chochote
kwa sasa....achana na CDM mkuu! hii ni namba nyingine!
Hata hivyo nakumbuka mwaka 95 na 2000 wewe ulikuwa CUF damu kabisa....lakini ghafla mwaka 2005 ukawa mwana ccm' Je kulikoni na wewe?
Mawazo mgando. Hata agombee sisimizi kwa tiketi ya chadema atashinda, si ukatoliki wala nini
Nini maneno mengi kwani 2015 mbali mkuu, just watch mtaji wenu mkubwa utagawanyika ..
Hata huko wamekabwa makoo wameishia msikiti wa Mpowora wakiwa hoooi! bin taabani.
unajua kenge huwa anafikiri kwa kutumia mkia?
Sasa mkia ukiwa haupo inakuwaje?
Figure it out!!
Narudia tena kuuliza; Nianze kuleta makombora 'Party' imeanza????? Hii thread ya kisiasa lakini panaletwa mambo ya kimaajabu!! Its is last warning.
Hicho ni kigugumizi.Sheikh hiki ulichokiandika ni kiAfghan au Kisudani au Kisomali?
Sisi akili zetu siyo za kushikiwa kama zenu na hatuangalii mtu kwa dini yake bali utendaji wake.Mimi nafight cause siyo party..
Bado naamini CUF wako na right cause ndio maana nawaunga mkono,
Chadema hawatakuwa na mvuto siku akiwekwa mkatoliki kule ccm, sahizi wana support kubwa ya wakatoliki; watagawanyika sana come 2015..
Yalete mkuu, nimekaa TAHIYATU nayasubiri
Mtu uko Marekani unauliza CUF iko wapi?, sisi huku tunajua iko huko, alikuja nayo Mwenyekiti kumbe na nyie hamuioni? Basi nadhani itakua kwenye mkoba wa Hamad Rashid, Katibu yeye yuko bize kumwandalia chakula Bwana!