African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
HoneymoonNikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
Nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
Oh!kazi ipo. Poleni sana wananchama wa Cuf, hameniHoneymoon
Mkuu hiki chama kinatia mashaka, juzi mbunge wake kaenda kumpokea mwenyekiti wa ccm dodoma. Ndiyo maana chadema iliwatosa kwenye kambi, hakieleweki.Dead alive!!! Usiumize kichwa mkuu
Nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
Wanajipanga kupata helikopta kushindana na CHADEMAWako Arumeru mashariki wanaratibu mipango ya kulitwaa jimbo hilo.Tehe!Tehe!RIP CUF a.k.a NGANGARI.
honeymoon
Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'
Tunafanya hitima ya cuf tarehe 13 mwezi huu pale uzini..