Hakuna asiyejua kuwa CCM wanafanya kila linalowezekana na wanakesha usiku na mchana kuhakikisha CUF inakufa au UKAWA kwa ujumla na wanapoteza mamilioni ya wakati na pesa nyingi sana kwa ajili ya kuua upinzani.
Lakini mwisho wa siku sijui watakuja kuambulia nini. Hilo ndio swali ambalo najiuliza kila siku na sipati jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kitatokea chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kuluko UKAWa. bora wangeacha kama ilivyo ili angalau waisaivu tumiaka tutatu tulikobaki, hii kitu wananafanya wakidhani wameshinda itawagharimuHakuna asiyejua kuwa CCM wanafanya kila linalowezekana na wanakesha usiku na mchana kuhakikisha CUF inakufa au UKAWA kwa ujumla na wanapoteza mamilioni ya wakati na pesa nyingi sana kwa ajili ya kuua upinzani.
Lakini mwisho wa siku sijui watakuja kuambulia nini. Hilo ndio swali ambalo najiuliza kila siku na sipati jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ife marangapii acttujiulize kwanza ACT ikifa kama CHADEMA wanavyokesha wakiomba na kufanya kila aina ya fitna na majungu, chadema itapata faida gani?!!! kama ipo basi itakuwa ni sawa na ile ambayo ccm itaipata kwa kufa cuf.
Ni kweli! CUF kimsingi ndo Zanzibar halisi au wazawa kama ni neno sahihi. CCM inafahamu fika CUF ikishika dola na Muungano ni kwisha. Why? Kwasababu, hakuna Rais wa Zanzibar ambaye anatokea CCM hajapikwa CCM na kubeba unafiki na ubabe wa CCM katika kuongoza. Shein ameishi bara, amekuwa makamu wa Rais na amepewa urais zanzibar kwa masharti ya kufanya kazi kwa kufuata maelekezo toka CCM Bara. CUF ikifa CCM watahakikiksha anayechukua Urais wa Zanzibar ni Mzanzbar mamluki na kuanzia hapo ni ubabe ubabe tuu!! Ndo maana nakuunga mkono, Zanzibar itakuwa koloni jumla.kuitawala zanzibar kama koloni lao.
Kati ya makosa makubwa ambayo CCM huwa wanajutia sana lakini hawataki kukiri ni kumuamini Karume kuchukua serikali Zanzibar. Yeye ndiye alileta muafaka ulioleta mwanga kwa upinzani kuichungulia ikulu na mantiki yake ni kwamba naye ni mmoja wa wanaharakati wa kudai Zanzibar huru. Kwahyo kukua kwa upinzani kulitokana na spport ya jamaa kwa upande mmoja. Namwona na bint wa Karume Fatma, naye anacheza mule mule. Yote anayofanya ni muakisio wa kile kilichoko ndani tu kuwa dola la bara linatunyanyasa. Na atakachotendewa chochote kile kitakuja siku moja kuunganishwa na anachotendewa Maalim na kitakuja kuwajumuisha wanzanzibar kama Taifa. Hapatatosha. Nafikiri uvumilivu ulitakiwa uwepo. Wangecheza hii ngoma taratibu waje wafanye figisu figisu huko 2019 lakini kukosa ustahimilivu wasishangae hiyo hiyo CUF wanayofikiri ni 'yao' kupitia Lipumba ikija kuwageuka huko 2020 na kuwa kitu kingine na inakuwa too late kulizima. Muda utaamua...Haya ni makosa katika namna ya kufikiri. Nadhani wao wanadhani wanaweza kuua upinzani wakati upinzani upo hata ndani yao wenyewe. Kama kuna jambo Magufuli anafeli basi ni vita alivyoanzisha dhidi ya wapinzani. vita hivi vitamgharimu sana.
Kati ya makosa makubwa ambayo CCM huwa wanajutia sana lakini hawataki kukiri ni kumuamini Karume kuchukua serikali Zanzibar. Yeye ndiye alileta muafaka ulioleta mwanga kwa upinzani kuichungulia ikulu na mantiki yake ni kwamba naye ni mmoja wa wanaharakati wa kudai Zanzibar huru. Kwahyo kukua kwa upinzani kulitokana na spport ya jamaa kwa upande mmoja
Cuf na Wazanzibari walio wengi hawapingi muungan, wanachotaka ni muungano wa haki, sio wa mwenye maguvu kumuonea dhaifu.kimsingi ndo Zanzibar halisi au wazawa kama ni neno sahihi. CCM inafahamu fika CUF ikishika dola na Muungano ni kwisha
madai ya cuf ya 2015 yatakufa tutapumuwaHakuna asiyejua kuwa CCM wanafanya kila linalowezekana na wanakesha usiku na mchana kuhakikisha CUF inakufa au UKAWA kwa ujumla na wanapoteza mamilioni ya wakati na pesa nyingi sana kwa ajili ya kuua upinzani.
Lakini mwisho wa siku sijui watakuja kuambulia nini. Hilo ndio swali ambalo najiuliza kila siku na sipati jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sikubaliani na hoja yako kwa sababu zifuatazoHakuna asiyejua kuwa CCM wanafanya kila linalowezekana na wanakesha usiku na mchana kuhakikisha CUF inakufa au UKAWA kwa ujumla na wanapoteza mamilioni ya wakati na pesa nyingi sana kwa ajili ya kuua upinzani.
Lakini mwisho wa siku sijui watakuja kuambulia nini. Hilo ndio swali ambalo najiuliza kila siku na sipati jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app