CUF Dar wamvaa Maalim Seif!

Jamani mm bado naota ndoto za mchana ila. Hawa wamedhubutu ingawa hoja ni nyepesi sana. Vipi wenzetu na watuhumiwa ambao wako dhahiri kabisa? (magamba) Hawana ujasiri hata kdg walau wa kujaribu na wao ndio wanaoongoza njia? Kweli uongozi kazi
 
Back
Top Bottom