ulishasikia mbunge wa mkoa ww? kilimanjaro ni mkoa...Ndesamburo ni mbunge wa jimbo la moshi mjini....sasa naomba uniambie mbunge wa kilimanjaro ni yupi? Nna wasiwasi na elimu yako ya kushindwa kutambua majimbo na mikoa...but sikulaumu wewe nalaumu chama unachokishabikia usinge kuwa hivyo.