CT SCAN vs Bombardier

Nchi ngumu au watawala wagumu?

Neno gani sahihi hapa
Unajua mtu ukiona mambo yako hayaendi vizuri unadadisi kwa wengine na huo hauitwi ujinga
Huwezi kukosa wa kukupa hela au mlo lakini kupata wa kukupa ushauri ni ngumu

Ukiona hujui kitu usilazimishe kwa ujeuri tu bali ifuate elimu hata kama ni China

Nchi haina ugumu kabisa ila ni watu
 
Mkuu nashangaa wakati nasoma maneno yako nimejikuta najawa na hisia Kali
 
Nadhani kuanzia viongozi mpaka wananchi kuna umuhimu wa kuzibuliwa masikio,
Haliwezekani na sio peke yetu
Hao hao viongozi wanakuja kwenye nchi zilizoendelea na kuona maendeleo yao lakini hawaleti hata fikra simple tu
Unakumbuka yule waziri aliyesababishwa yule security wa bank kufukuzwa kazi wakati yeye ndio aliyekuwa amesababisha Q ndefu
Hivi akiwa kama Germany au Italy angefanya hivyo
Tuko tofauti na binadamu wengine kwa kweli
 
Twende kazi. Hadi akili ziturudie kila mtanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…