CT SCAN vs Bombardier

Serikali ya awamu hii basically inalenga kuwanufaisha wafanya kazi wake only.
 
Nafikiri ni mpaka $2.5m kwa CT Scan brand new lakini used ni mpaka $65,000
Na bombadier ni $32. m
Yesu wangu!!!!!!!!
jamani,jamani,jamani
Hii si laana hii.

Kuna mtu anaweza kujustify hili la ndege kuwa kipaumbele kuliko afya za wananchi,ambao kimsingi ndio wanaobeba gharama za hizo ndege na shirika lake?,yupo anayeweza kujustify hili?.
 
No one
Kwa kweli huwa nashindwa kuelewa
Yaani hata mle nyasi
Kuna misemo jamani kama inajirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…