Mkuu huu uzi ni wa siku nyingi kipindi nipo kwenye hayo maandalizi na nilishaondoka huko. Ila hii fee ni kwa ajili ya event registration kwa shirika ambapo kwa kipindi hicho ilikuwa 3 members per each shirika. Ikiwa kama mnataka kwenda wengi zaidi ilikuwa mnaongeza pesa kwa ajili ya wengine watatu.
Fee ilikuwa inacover gharama za kuingia ukumbini,chakula kuanzia btreakfast mpk dinner na vinywaji kwenye night gallaz. Sijajua kwa sasa utaratibu ni upi