Uhalifu huu wa internet unafanywa kwa mtu/ kampuni /taasisi kutumiwa email yenye software hataria mbapo wakati email inasomwa software inarun underground na kufungia mafaili yako yote. Kisha? Messeji inatokea kukujulisha kuwa unapaswa kulipa kiasi fulani ili mafaili yarudishwe. Hii ni njia mpya ya wahalifu wa internet kujipatia fedha za bure. Taarifa ipo katika
abc news.