Cryptos na NFTs zinaendeshwa kwa kwa mfumo wa PROMO na FOMO.Ni jambo la kawaida kwa vijana wanajihusisha na cryptocurrency kushawishi wengine kuwa huo ni uwekezaji ambapo watu wengi huingia wakiamini watapata faida kubwa lakini huishia kupata hasara au faida ya kawaida ambayo wangeweza kuipata katika masoko yoyote ya pesa
Kwa ufupi sana, Uwekezaji ni kuongezea mtaji katika biashara inayoenda kufanyika. Mfano watu hununua hisa ili kuzipa mitaji kampuni za biashara kisha wao hupata gawio linalotokana na faida kila mwisho wa mwaka
Cryptocurrency ni fedha ya mtandao ambayo kama itakuja kuwa fedha kwa kufanyia miamala mtu atakayekuwa anamiliki Cryptocurrency hatokuwa tofauti na anayemiliki fedha yoyote yenye nguvu i.e Riyali au Dola. Swali ni Je, Ukinunua Dola au Riyali, Utajiita Muwekezaji?
FIAT MONEY
Pesa tuliyonayo ni Fiat ambayo thamani yake haijaambatanishwa na Dhahabu kama ilivyokuwa miaka ya 1980 kurudi nyuma, ni suala ambalo limetajwa kusababisha thamani ya fedha kubadilika kila mara (Inflation) kwa kuwa thamani yake ina-hang hewani
Kwa hoja ya Fiat Money, Cryptocurrency haiwi-exempted kwa kuwa hata yenyewe haijaambatanishwa na Bidhaa iliyostable, mbali na kukosa bidhaa, pesa hizi zimekuwa zikipanda thamani na kushuka kiasi cha kuwa na ugumu wa kupredict thamani yake kwa usahihi hali inayofanya watu wanaojua uwekezaji kama benki za biashara kutojihusisha nayo
HOJA YA MSINGI
Cryptocurrency ni fedha ya mtandao kuwa nayo sio uwekezaji, labda unaweza kuitwa ‘Arbitrageur’ ikiwa utakuwa unacheza nazo kwenye Foreign Exchange. Lengo la fedha hii ilikuwa ni kuficha utambulisho wa mtu kwenye manunuzi ya mtandaoni na sio kumpa mtu utajiri kwa kuimiliki.
Hivyo kabla haujajitutumua kumiliki Cryptocurrency, jiulize, utakuwa na shida gani ukinunu fehda nyingine yenye nguvu na thamani duniani
Signed
OEDIPUS
Mimi kama kuna jambo linanistaajabisha ni NFTs, yani eti mtu ananunua vi jpgs kwa millions of dollars. Ni ukichaaCryptos na NFTs zinaendeshwa kwa kwa mfumo wa PROMO na FOMO.
Yaani inatengenezwa HYPE kubwa kuhusu Cryptos na NFTs na hivyo watu wengi wakitaka kununua inapanda thamani.
Akitokea mtu mwenye ushawishi akiziponda ZINAPOROMOKA tena.
Yaani hata wewe unaweza kutengeneza Coin yako na ukaanza kuipush.
Na kibaya zaidi wamasema ni Coin lakini wakiziuza wanataka kupewa pesa za kawaida, sasa umajiuliza hizi ni Currency au bidhaa?
MIHEMKO inayotokana na PROMOTION.Mimi kama kuna jambo linanistaajabisha ni NFTs, yani eti mtu ananunua vi jpgs kwa millions of dollars. Ni ukichaa
Akili yako kubwa mkuu, Mungu akuzidishieKikubwa na cha muhimu ni kufanya utafiti kabla ya kuingiza pesa yako sehemu yoyote lakini kwa Tanzania naona watu wengi kazi yao ni kupinga pesa yoyote inayopatikana kwa internet either ni Forex iwe Crypto lakini kuna madogo wapo wanakula zao pesa kwa mtindo huuhuu Anyway kikubwa kila mtu awekeze pesa ake mahali anapenda
NB: kununua Low kuuza High then weka pesa mfukoni.Cryptos na NFTs zinaendeshwa kwa kwa mfumo wa PROMO na FOMO.
Yaani inatengenezwa HYPE kubwa kuhusu Cryptos na NFTs na hivyo watu wengi wakitaka kununua inapanda thamani.
Akitokea mtu mwenye ushawishi akiziponda ZINAPOROMOKA tena.
Yaani hata wewe unaweza kutengeneza Coin yako na ukaanza kuipush.
Na kibaya zaidi wamasema ni Coin lakini wakiziuza wanataka kupewa pesa za kawaida, sasa umajiuliza hizi ni Currency au bidhaa?
Sio kweli. Wewe ulicheza forex, Kuwa mkweli.story ya hayo makitu nashindwa niyaandikeje maana yalinifelisha parefu pesa ikapotelea huko
Tatizo hizo pesa zenu za mitandaoni ni kama ghost money! Yani pesa ambayo haishikiki haiko tangible!Kikubwa na cha muhimu ni kufanya utafiti kabla ya kuingiza pesa yako sehemu yoyote lakini kwa Tanzania naona watu wengi kazi yao ni kupinga pesa yoyote inayopatikana kwa internet either ni Forex iwe Crypto lakini kuna madogo wapo wanakula zao pesa kwa mtindo huuhuu Anyway kikubwa kila mtu awekeze pesa ake mahali anapenda
Hio Crypto pesa unapataje? Can you put money and grab it in real time kama Forex?Sio kweli. Wewe ulicheza forex, Kuwa mkweli.
Crypto Ina pesa sana ni vile wengi wenu hamjitambui kwenye hilo eneo.
Achana na forex ni utapeli wa kimataifa.
Hongera sana ila hizo currency walau angetokea mtu aka narrate kuwa zinafanyaje kazi na unanunua wapi na vipi na unapataje faida!Nilinunua BNB Ikiwa low, nilinunua Etherium Ikiwa low, nilinunua Shibainu Ikiwa low, Feb-March 2020 nilinunua BTC Ikiwa low. Usiniulize leo nina kiasi gani cha pesa.
Who is going to buy when they are priced high ?NB: kununua Low kuuza High then weka pesa mfukoni.
Hayo mengine hayana mantiki.
Nakubaliana na ww ndio maana nikasema kabla ya kufanya chochote ni lazima ufanye uchunguzi wa nguvu ni sawa na Mkulima analima ajachunguza masoko,hali ya hewa,ushindani wa kibiashara ana tofauti gani na hawa wa crypto kiongoziTatizo hizo pesa zenu za mitandaoni ni kama ghost money! Yani pesa ambayo haishikiki haiko tangible!
Halafu to make shit worse hio pesa imehusishwa sana na cases za utapeli wa baina ya wauzaji na traders!