Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Wakuu kwa wale ambao niwazoefu kwenye hzo cryotocurrency hasa upande wa wallet nimeona baadhi ya wallet charge yake Ni kubwa Sana mfano remitano kuwidraw wanakata Zaid ya 0.0005btc lakin localbitcoin wao Ni wewe na mtu unayetaka kumuuzia lakin ukitaka kutuma btc wanachange 0.00005 Naomba kufaham Kama Kuna mtu anafaham wallet ambazo zipo chipu Zaid kwa wale waoefu nomba kufahamishwa
