MZEE MBINAFSI SANASiku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi unachostahili kufikia katika maisha. Mjuaji wa yote. Mungu Mtu. Tuliotaharuki ile siku tuliposikia JINA LAKE LIHIMIDIWE, tulikuwa hatujaelewa somo.
Hivi mtu mwenye mapenzi mema anawezaje kuwaambia vijana wasiwe ambitious?
Kwamba ukiwa Mkurugenzi au Mkuu wa Mkoa, usijaribu kuwa na ndoto ya kuutaka Ubunge au Urais?
Utovu wa nidhamu wa viongozi walioambiwa wakajipe semina elekezi, na wanaoona wenzao wa kanda maalum wakikosa nidhamu ndo wanakingiwa kifua, ni ishu tofauti kabisa na kutishia watu wasijaribu kuota zaidi. Yeye huko kote alikopita alitatua matatizo yote?
Yeye mbona hakuridhika alipoteuliwa na wizara kuwa mwalimu huko Sengerema?
Kwahiyo Masauni, Mwinyi na Mbarawa ndo wasitegemee tena maisha kwenye siasa wakikosa urais Zanzibar?
Vijana wa nchi hii kwakweli wamepatwa.
Mwenyezi Mungu aliyeko mbinguni, awasimamie hiki kikombe nacho kipite. Leo nimethibitisha kwa masikio na macho yangu, kuwa NENO LINAISHI.
Mhubiri 4:3 BHN
Lakini ana heri zaidi kuliko wafu na walio hai, yule ambaye bado hajazaliwa na kuona maovu yote yanayotendwa hapa duniani.
Makato makubwa bodi ya mikopo,kushindwa kulipa malimbikizo ya mshahara na ukanyagaji wa demokrasiaNaona malalamiko kwa chama tawala yamekuwa mengi.
Mimi sikubaliani tu na swala la kutowaongezea salary watumishi wa gvt
Hayo matatizo yenu muwe mnamalizia chumbani kwenu huko.
Wewe mnywa mbege umetokea wapi?Mtu aliyevimbiwa utamgundua tu kwa kauli zake.
Mungu ni mwema,acha tuone mwisho wakeSiku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi unachostahili kufikia katika maisha. Mjuaji wa yote. Mungu Mtu. Tuliotaharuki ile siku tuliposikia JINA LAKE LIHIMIDIWE, tulikuwa hatujaelewa somo.
Hivi mtu mwenye mapenzi mema anawezaje kuwaambia vijana wasiwe ambitious?
Kwamba ukiwa Mkurugenzi au Mkuu wa Mkoa, usijaribu kuwa na ndoto ya kuutaka Ubunge au Urais?
Utovu wa nidhamu wa viongozi walioambiwa wakajipe semina elekezi, na wanaoona wenzao wa kanda maalum wakikosa nidhamu ndo wanakingiwa kifua, ni ishu tofauti kabisa na kutishia watu wasijaribu kuota zaidi. Yeye huko kote alikopita alitatua matatizo yote?
Yeye mbona hakuridhika alipoteuliwa na wizara kuwa mwalimu huko Sengerema?
Kwahiyo Masauni, Mwinyi na Mbarawa ndo wasitegemee tena maisha kwenye siasa wakikosa urais Zanzibar?
Vijana wa nchi hii kwakweli wamepatwa.
Mwenyezi Mungu aliyeko mbinguni, awasimamie hiki kikombe nacho kipite. Leo nimethibitisha kwa masikio na macho yangu, kuwa NENO LINAISHI.
Mhubiri 4:3 BHN
Lakini ana heri zaidi kuliko wafu na walio hai, yule ambaye bado hajazaliwa na kuona maovu yote yanayotendwa hapa duniani.
Wewe mnywa mbege umetokea wapi?
Mungu ni mwema,acha tuone mwisho wake
Nipo KwaZulu huku nyumbani kwa mzee wangu. Au napo kuna Lumumba? Next time hakikisha kinywaji kinachoingia mwilini mwako ni maji tu!Mbona tunaishi jirani tu na kunywa wote hiyo mbege mitaa ya lumumba? Mara kibao tu nimekupa offer.
Kwa hiyo unataka viti maalum? Kama huwezi shindana kaa pembeni kwani lazima uwe mbunge?We unaumizwa na vitu vya ajabu sana hivi unadhani ni rahisi mimi kijana nilie na ndoto na vigezo kuwa mbunge kushindana na lijamaa limeacha ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa jiji kuja kushindana na mimi?
Nipo KwaZulu huku nyumbani kwa mzee wangu. Au napo kuna Lumumba? Next time hakikisha kinywaji kinachoingia mwilini mwako ni maji tu!
Mkuu Mungu ni mwema sana,utatimia tu subiri utaona na baada ya hapo Covid 19 itapewa heshima inayostahiliKila nikikumbuka ule utabiri wako kuhusu COVID-19 huwa natabasamu Mkuu 😊😊
Jiandaeni kwa miaka mingine 5 ya udikteta kama hamtajitokeza kwa wingi kuchagua mtu mwingine.Siku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi unachostahili kufikia katika maisha. Mjuaji wa yote. Mungu Mtu. Tuliotaharuki ile siku tuliposikia JINA LAKE LIHIMIDIWE, tulikuwa hatujaelewa somo.
Hivi mtu mwenye mapenzi mema anawezaje kuwaambia vijana wasiwe ambitious?
Kwamba ukiwa Mkurugenzi au Mkuu wa Mkoa, usijaribu kuwa na ndoto ya kuutaka Ubunge au Urais?
Utovu wa nidhamu wa viongozi walioambiwa wakajipe semina elekezi, na wanaoona wenzao wa kanda maalum wakikosa nidhamu ndo wanakingiwa kifua, ni ishu tofauti kabisa na kutishia watu wasijaribu kuota zaidi. Yeye huko kote alikopita alitatua matatizo yote?
Yeye mbona hakuridhika alipoteuliwa na wizara kuwa mwalimu huko Sengerema?
Kwahiyo Masauni, Mwinyi na Mbarawa ndo wasitegemee tena maisha kwenye siasa wakikosa urais Zanzibar?
Vijana wa nchi hii kwakweli wamepatwa.
Mwenyezi Mungu aliyeko mbinguni, awasimamie hiki kikombe nacho kipite. Leo nimethibitisha kwa masikio na macho yangu, kuwa NENO LINAISHI.
Mhubiri 4:3 BHN
Lakini ana heri zaidi kuliko wafu na walio hai, yule ambaye bado hajazaliwa na kuona maovu yote yanayotendwa hapa duniani.
Paul Makonda anasemaje ?Siku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi unachostahili kufikia katika maisha. Mjuaji wa yote. Mungu Mtu. Tuliotaharuki ile siku tuliposikia JINA LAKE LIHIMIDIWE, tulikuwa hatujaelewa somo.
Hivi mtu mwenye mapenzi mema anawezaje kuwaambia vijana wasiwe ambitious?
Kwamba ukiwa Mkurugenzi au Mkuu wa Mkoa, usijaribu kuwa na ndoto ya kuutaka Ubunge au Urais?
Utovu wa nidhamu wa viongozi walioambiwa wakajipe semina elekezi, na wanaoona wenzao wa kanda maalum wakikosa nidhamu ndo wanakingiwa kifua, ni ishu tofauti kabisa na kutishia watu wasijaribu kuota zaidi. Yeye huko kote alikopita alitatua matatizo yote?
Yeye mbona hakuridhika alipoteuliwa na wizara kuwa mwalimu huko Sengerema?
Kwahiyo Masauni, Mwinyi na Mbarawa ndo wasitegemee tena maisha kwenye siasa wakikosa urais Zanzibar?
Vijana wa nchi hii kwakweli wamepatwa.
Mwenyezi Mungu aliyeko mbinguni, awasimamie hiki kikombe nacho kipite. Leo nimethibitisha kwa masikio na macho yangu, kuwa NENO LINAISHI.
Mhubiri 4:3 BHN
Lakini ana heri zaidi kuliko wafu na walio hai, yule ambaye bado hajazaliwa na kuona maovu yote yanayotendwa hapa duniani.
Unanihitaji?Ulirudi lini tena huko KwaZulu na wakati ni wiki iliyopita tu tulikua wote Dodoma kwa ajili ya kumshangilia Mwenyekiti wetu wa Chama baada ya kuchukua fomu ya Urais!!