Abdul kalaam JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 446 Reaction score 568 Dec 27, 2022 #1 Habarini wadau Nimependezwa mno na kazi za melini. naomba kama kuna Mdau anafanya kazi kwenye cruiseship anipe muongozo kozi gani za kusoma ili niweze kupata kazi kwenye cruiseship Asanteni sana
Habarini wadau Nimependezwa mno na kazi za melini. naomba kama kuna Mdau anafanya kazi kwenye cruiseship anipe muongozo kozi gani za kusoma ili niweze kupata kazi kwenye cruiseship Asanteni sana
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,584 Dec 27, 2022 #2 Cruise ship ni hotel inayotembea, nje ya field za kibaharia field zote za hotel zinahusika. Kwa kifupi mfanyakazi wa Kilimanjaro hotel anaweza kufanyakazi kwenye cruise ship, na other Seaman halikadharika.
Cruise ship ni hotel inayotembea, nje ya field za kibaharia field zote za hotel zinahusika. Kwa kifupi mfanyakazi wa Kilimanjaro hotel anaweza kufanyakazi kwenye cruise ship, na other Seaman halikadharika.