sio mdomo mzee amejipanga na mkwala wake wa nyuklia, hawa wavamizi sijui Nato sijui Marekani wanajua wakimuingia kijinga jinga hatakubali yaliyomtokea Ghaddafi yamkute na yeye, anakufa nao sahani moja jamaa kwa sasa ana moyo wa kama mbaya na iwe mbayaaa tu potelea mbali!!!